Waimbaji wa kwaya ya SAC (Shinyanga Adventist Choir) wakiimba baada ya mchungaji Alex Ibrahimu Juma kutoka mtaa wa Nyakato mwanza kutoa neno la uzima wakati wa mchana leo tarehe 04/08/2014. Sikukuu hii ya vibanda inaendelea katika viwanja vya kanisa la Waadventista wasabato Shinyanga Mjini.
Waimbaji wa kwaya ya SAC (Shinyanga Adventist Choir) wakiimba baada ya mchungaji Alex Ibrahimu Juma kutoka mtaa wa Nyakato mwanza kutoa neno la uzima wakati wa mchana leo tarehe 04/08/2014. Sikukuu hii ya vibanda inaendelea katika viwanja vya kanisa la Waadventista wasabato Shinyanga Mjini.Waimbaji wa kwaya ya Pasiansi kutoka Mwanza wakiimba baada ya mchungaji Alex Ibrahimu Juma kutoka mtaa wa Nyakato mwanza kutoa neno la uzima wakati wa mchana leo tarehe 04/08/2014. Sikukuu hii ya vibanda inaendelea katika viwanja vya kanisa la Waadventista wasabato Shinyanga Mjini. Kwaya hii ndio wageni waalikwa kwa upande wa uimbaji.
Waimbaji wa kwaya ya Pasiansi kutoka Mwanza wakiimba baada ya mchungaji Alex Ibrahimu Juma kutoka mtaa wa Nyakato mwanza kutoa neno la uzima wakati wa mchana leo tarehe 04/08/2014. Sikukuu hii ya vibanda inaendelea katika viwanja vya kanisa la Waadventista wasabato Shinyanga Mjini. Kwaya hii ndio wageni waalikwa kwa upande wa uimbaji.

Picha hii hapa chini ni Waimbaji wa kwaya ya SAC (Shinyanga Adventist Choir)

Wanandoa wakiwa katika darasa la kujifunza mafundisho ya ndoa chini ya uratibu wa mchungaji wa mtaa wa Lubaga,Mchungaji Ayubu Nduru.

Wagane na wajane wakijifunza wakati wa kipindi cha mgawanyiko wa madarasa.
Vijana wanaotarajia siku za usoni kupata wenzi watakaoishi nao kama maandiko matakatifu yanavyowataka wafanye,wakijifunza namna ya kupata wenzi wao kwa kumshirikisha Mungu. Darasa hili lilikuwa chini ya uongozi wa Mchungaji kijana kutoka mtaa wa Kwimba,Mchungaji Tungaraza.

Vijana wanaotarajia siku za usoni kupata wenzi watakaoishi nao kama maandiko matakatifu yanavyowataka wafanye,wakijifunza namna ya kupata wenzi wao kwa kumshirikisha Mungu. Darasa hili lilikuwa chini ya uongozi wa Mchungaji kijana kutoka mtaa wa Kwimba,Mchungaji Tungaraza.Wainjilisti wakitoa huduma ya uuzaji wa vitabu mbalimbali vya dini
Wainjilisti wakitoa huduma ya uuzaji wa vitabu mbalimbali vya dini
Watoto nao wakiwa katika darasa lao wakijifunza.

+ comments + 1 comments
Hi, natafuta picha na nyimbo za miaka iliyopita (2000 hadi 2002)
Post a Comment