Home » » MAKAMBI TRH 05/08/2014

MAKAMBI TRH 05/08/2014

Written By SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH on Tuesday, August 05, 2014 | August 05, 2014

Vijana wa AY (Adventist Youth) wa kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika-Shinyanga Tanzania wakitoa huduma ya uimbaji wakati wa programu za usiku wa sikukuu ya vibanda inayoendelea katika viwanja vya kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini.
 Baadhi ya washiriki mbalimbali kutoka mitaa ya shinyanga mjini wakifuatilia programu za usiku zilizokuwa zikiwasilishwa na kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika Shinyanga.
 Wapiga gitaa wa kwaya ya Jangwani kutoka kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika wakiimba na kupiga zana hizo za muziki wa kristo wakati kwaya ya Jangwani ilipokuwa ikiimba usiku wa tarehe 04/08/2014.
 Watoto kuanzia umri wa mwaka mmoja hadi miaka 17 wakiwa katika darasa lao la watoto wakijifunza  neon la Mungu.
 Kwaya ya kanisa la Waadventista Wasabato Kitangili- Shinyanga wakiimba katika mkutano wa Bwana maarufu kama Makambi.Mkutano huu unaendelea katika mtaa wa shinyanga Mjini. Mnenaji mkuu ni Mchungaji Ibrahimu Alex Juma kutoka Mtaa wa Nyakato mwanza Tanzania.
 Waumini wa kanisa la Waadventista Wasabato wakifuatilia neon la Mungu kutoka kwa Mhutubu Mkuu wa Mkutano wa Makambi Mcungaji Alex Juma.Walioko mbele ktoka kushoto ni Mchungaji Ndulu wa Mtaa wa lubaga,na Mchungaji Tungaraza wa mtaa wa Kwimba Mwanza
 Waimbaji wa Kwaya ya Pansiasi wakiimba wakati wa huduma kuu ya neno la Mungu. Kwaya hii ndio wageni waalikwa kwa upande wa uimbaji kutoka Mwanza.
 Kwaya ya kanisa ;la Shinyanga Mjini wakiimba wakati wa huduma ya kupata neno la Mungu kwa watoto wadogo.
 Kwaya ya kanisa ;la Shinyanga Mjini wakiimba wakati wa huduma ya kupata neno la Mungu kwa watoto wadogo.
 Wana wa Mungu wakijitoa kumpokea Kristo kuwa Mwokozi wao wakati Mchungaji Ibrahimu Alex Juma akitoa wito baada ya kutoa neno la Mungu lililowataka watu kumrudia Mungu kwa kuacha Dhambi.
  Wana wa Mungu wakijitoa kumpokea Kristo kuwa Mwokozi wao wakati Mchungaji Ibrahimu Alex Juma akitoa wito baada ya kutoa neno la Mungu lililowataka watu kumrudia Mungu kwa kuacha Dhambi.
 Waimbaji wa Kwaya ya Pansiasi wakiimba wakati wa huduma kuu ya neno la Mungu. Kwaya hii ndio wageni waalikwa kwa upande wa uimbaji kutoka Mwanza.
  Kwaya ya kanisa ;la Shinyanga Mjini wakiimba wakati wa kipindi cha Uimbaji Mchana kabla ya kugawanyika katika madarasa mbalimbali kama vile madarasa ya wanandoa,vijana,wagane na wajane, na watoto
 Kwaya ya kanisa ;la Shinyanga Mjini wakiimba wakati wa kipindi cha Uimbaji Mchana kabla ya kugawanyika katika madarasa mbalimbali kama vile madarasa ya wanandoa,vijana,wagane na wajane, na watoto

Share this article :

Post a Comment

Need Support? Contact : Creating Website and Blog | Stanley Isaac Manyonyi | Twitter
Copyright © 2017. SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger