Kwaya ya Kanisa la Nyakato (Nyakato SDA Church) hapo juu wakiimba wimbo baada ya hotuba ya Mchungaji Eliasi Switta- Katibu wa Jimbo la Kusini mwa Ziwa. Kwaya hii ni kwaya iliyoalikwa katika makambi ambalo ni kambi bora na makini.
Baadhi ya waumini wakiwa wamejitoa mbele ya Mungu baada ya wito wa mchungaji Eliasi Swittta.
Home »
» MAKAMBI 2016 MTAA WA SHINYANGA JULAI 03-09 2016
Post a Comment