Kwaya ya Kanisa la Wasabato Ushirika (Jangwani SDA Choir) wakiimba wakati wa tukio la kuibariki na kuitambulisha DVD namba 3 ya kwaya ya kanisa la Waadventista wa Sabato Shinyanga Mjini (Shinyanga Adventist Choir- SAC)
Kwaya ya Kanisa la Wasabato Ndala wakiimba wakati wa tukio la kuibariki na kuitambulisha DVD namba 3 ya kwaya ya kanisa la Waadventista wa Sabato Shinyanga Mjini (Shinyanga Adventist Choir- SAC)
Post a Comment