Ni jambo gani gumu ni wimbo namba nne kati ya nyimbo kumi zilizo katika DVD namba tatu iliyotambulishwa mnamo tarehe 02 Aprili 2017. Nyimbo nyingine ni kama ifuatavyo:
1. Tutapate kupona
2. Ulimwengu
3. Dhambi zangu
4. Ni jambo gani gumu?
5. Changamkeni
6. Kumbukumbu
7. Mkristo wa kweli
8. Nautazama msalaba
9. Wastahili
10. Sheria
Namna ya kupata DVD hii, tembelea Kanisa la Waadventista wa Sabato Shinyanga Mjini, Amazing Grace Supermarket iliyopo karibu na Ofisi ya CCM Wilaya ya Shinyanga, au piga simu namba 0752 828 716 au 0757 630 708.
Gharama ya nakala moja ya DVD inapatikana kwa Tshs 5,000/= na unaweza kusikiliza vipande vya nyimbo zilizokatika mkanda huu namba tatu kupitia akaunti yetu ya youtube kwa kubonyeza hapa.
Home »
» NI JAMBO GANI GUMU?
Post a Comment