Leo tarehe 02/08/2014 ni sabato ya kwanza ya mwezi wa nane,sabato ambayo mhutubutu mkuu alikuwa ni mzee wa kanisa (Mr Songora-aliyesimama). Neno kuu lilitoka katika kitabu cha Kumbukumbu la Torati 16:13-16.
Sikukuu ya vibanda katika mtaa wa shinyanga itaanza kusheherekewa kuanzia siku ya Jumapili ya tarehe 03/08/2014 hadi 09/08/2014. Kama kawaida ya sikukuu ya vibanda patakuwepo na mafundisho mbalimbali katika Nyanja za usafi, ndoa, neno la Mungu,wenye shida wataombewa na kubatizwa.
Endelea kutembelea blog hii ili uweze kujuzwa mambo mbalimbali yakiwemo matukio yenye mibaraka kutoka kwa Mungu wetu.
Home »
» MAANDALIZI YA SIKUKUU YA VIBANDA KUANZA 03/08/2014
Post a Comment