Home » » UHURU HATIMAYE KUANZA 14.11.2015

UHURU HATIMAYE KUANZA 14.11.2015

Written By SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH on Friday, November 13, 2015 | November 13, 2015

Kuanzia tarehe 14 Novemba- 05 Desemba 2015, muda ni saa 12:30 jioni hadi saa 2:30 usiku, Kituo cha television ni Morning Star TV kwenye.

UFUNGUZI WA SABATO 13.11.2015

Unayefikiria kuongeza mipaka yako ya maisha, usikate tamaa. Inawezekana una misongo ya mawazo, ongeza mipaka ya mawazo yako kwa kumkaribisha Yesu akemee bahari ya maisha yako. Ni saa ya kumtafuta Yesu. Haijarishi umeonekana na kutazamwa na watu, wewe fikiria Yesu anakutazamaje, na mtazamo wa Yesu ni kutuliza machafuko ya bahari ya maisha yako. MUNGU AKUBARIKI SANA.

Fuatilia mahubiri haya kwa muda wa wiki tatu ili uweze kubarikiwa. Kwaya mbalimbali zitakuwepo. Uzinduzi wa mahubiri haya yatafanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Ushindi DSM na kurushwa live.

YOHANA 8:36 Uhuru wa kweli unapatikana katika neno la Mungu. Baada ya kuutafuta uhuru kwa muda mrefu, BWANA anakutangazia uhuru wa kweli moyoni mwako kuanzia leo.
Share this article :

Post a Comment

 
Need Support? Contact : Creating Website and Blog | Stanley Isaac Manyonyi | Twitter
Copyright © 2017. SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger