Latest Post
July 06, 2016
MAKAMBI LEO JUMATANO 06 JULAI 2016
Written By SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH on Wednesday, July 06, 2016 | July 06, 2016
Kwaya ya kanisa la Ndala SDA wakiimba wakati wa usiku wakati wa program za usiku wa makambi. Nyimbo nzuri sana zimeimbwa kwa ustadi mkubwa wa kumtukuza Mungu
Watoto wakimsikiliza mwalimu wao katika ibada yao kanisani. Walimu wameendelea kutoa mafundisho kwa watoto wote kwa njia mbalimbali ikiwemo kuimba, kuangalia picha.
PFC kutoka kanisa la Ndala wakiwa katika gwaride ambalo linaonesha ukakamavu wao katika kazi ya Bwana Yesu.
Mchungaji Elias Switta akihubiri katika ibada kuu ya mchana wa Jumatano 06 Julai 2016. Watu wameendelea kujitoa kwa Yesu na wanajiandaa kwa ubatizo mkubwa utakaofanyika ijumaa 08 Julai 2016
Vijana wakiwa katika darasa lao linawajumuisha vijana wote ambao hawajaingia katika dola ya ndoa, Vijana wameendelea kupata masomo mazuri kama vile namna ya kumoata mwenzi wa maisha, usafi na utii.
Bwana Mackdonald kutoka kanisa la Nyakato(Muimbaji) akichangia katika darasa la vijana namna ya kupata mwenzi wa maisha.
Anna Mdongo (Kijana) kutoka kanisa la Shinyanga Mjini akichangia katika darasa la vijana namna ya kupata mwenzi wa maisha.
Bi Anneth kutoka kanisa la Nyakato(Muimbaji) akichangia katika darasa la vijana namna ya kupata mwenzi wa maisha.

Mchungaji Tobe (Mchungaji wa Mtaa wa Lubaga) akifundisha namna ya kupata mwenzi wa maisha katika darasa la vijana
July 05, 2016
NJOO KWA YESU UONDOE UCHOVU KATIKA MAKAMBI YA 2016 SHINYANGA MJINI
Written By SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH on Tuesday, July 05, 2016 | July 05, 2016
July 04, 2016
MAKAMBI 2016 MTAA WA SHINYANGA JULAI 03-09 2016
Written By SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH on Monday, July 04, 2016 | July 04, 2016
Kwaya ya Kanisa la Nyakato (Nyakato SDA Church) hapo juu wakiimba wimbo baada ya hotuba ya Mchungaji Eliasi Switta- Katibu wa Jimbo la Kusini mwa Ziwa. Kwaya hii ni kwaya iliyoalikwa katika makambi ambalo ni kambi bora na makini.
Baadhi ya waumini wakiwa wamejitoa mbele ya Mungu baada ya wito wa mchungaji Eliasi Swittta.