![]() |
Shinyanga Adventist Sec School |
Hii
picha inaonyesha majengo ya madarasa ya Shinyanga Adventist secondary
school iliyopo Ndala, Manispaa ya Shinyanga inayoendelea kujengwa na
hapa ndipo ile semina ya mafunzo ya kufyatua matofali kwa udongo wa
kawaida ukichanganya na simenti mfuko mmoja wa simenti unakupatia zaidi
ya matofali mia moja.
Wachungaji
tumeni washiriki waje ili tujifunze namna ya kufyatua matofali mazuri
na imara. Chakula kitapatikana eneo la mkutano kuanzia gharama ya Tshs
3,000/= na kuendelea. Tunawakumbusha walio na mahema (tents) waje nayo
ili kupunguza gharama za kuishi.
![]() |
Eneo la wazi la shule |
Usafiri
kutoka Shinyanga Mjini kwa pikipiki ni kati ya Tshs 1,500 na 2,000. Pia
ukipenda kutumia usafiri wa baiskel ni maelewano na tunaposema usaifir
wa baiskeli inatokana na uwepo wa baiskeli nyingi kuliko gari.
Nyumba za wageni yaani 'guest house' ziko jirani na eneo la semina na
zinapatikana kwa Tsh 5000 na kuendelea hadi 120,000. Semina ni ya
kujitegemea kwa kila kitu.
Barikiweni mnapojipanga kuja.
Tangazo hili limetolewa na Mchungaji J.J Kilinda
Mchungaji wa Mtaa wa Shinyanga Mjini
Post a Comment