Home » » TUKIO LA KUBOMOKA NA KUJENGWA KANISA LA MWAGALA

TUKIO LA KUBOMOKA NA KUJENGWA KANISA LA MWAGALA

Written By SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH on Friday, March 06, 2015 | March 06, 2015

 "...Kanisani tuna kilio na maombolezo, kwani kanisa letu la Mwagala lililojengwa miaka 2 iliyopita limeanguka. Sijui sasa hawa wajoli watasalia wapi?,,,"Alisikika Mjoli (Mzee Jonas Mangi) akinena kwa masikitiko sana.Kama picha zinavyoonesha,ndio ilikuwa ikionekana kwa uhalisia.Baada ya taarifa za kubomoka kuwafikia waumini wa kanisa la Waadventista wa Sabato Shinyanga Mjini,waliomba Bwana aingilie kati ya kuwapatia hekima ya kutatuatatio lililokuwa likiwakabili waumini wa kanisa la mwagala ifikapo siku ya kukutana kwa ajili ya kuabudu.



 Hili ni jengo jipya lililojengwa mara baada ya kufanikiwa kutekeleza mipango iliyojadiliwa kwa ushirikisho wa mkono wa Mungu uliowaongoza wajoli wa Bwana. Hapa chni anaonekana Mkuu wa Majengo wa Kanisa la Shinyanga Mjini SDA (Mr Sengoka) akifafanua namna anavyosimamia ujenzi wa kanisa hilo ili watu wa Mungu wapate sehemu ya kuabudia.

Share this article :

Post a Comment

 
Need Support? Contact : Creating Website and Blog | Stanley Isaac Manyonyi | Twitter
Copyright © 2017. SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger