Home » » MUUJIZA WA NDOA

MUUJIZA WA NDOA

Written By SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH on Friday, April 21, 2017 | April 21, 2017

 Uhusiano wetu katika nyumba zetu unapoimarika na kuendelea kumuomba Yesu Kristo, Mungu ataendelea kuzibariki familia zetu. Atambariki baba, mama na watoto wote katika familia. Kama tusiposameheana katika nyumba zetu, hakika wananda pia hawatasemehewa katika toba yoyote watakayoomba kwa Yesu Kristo.

Kitendo cha Yesu kubadilisha maji kuwa divai kina maana katika mabadiliko katika ndoa na kundoa laana ambayo inaweza kuila nyumba ya wanandoa wawili. Katika uumbaji viliingia vitu viwili vitakatifu ambavyo ni ndoa takatifu na sabato takatifu.

Miujiza ya ndoa itatokea mara baada ya kila mwanandoa kujisalimisha kwa Yesu













Share this article :

Post a Comment

 
Need Support? Contact : Creating Website and Blog | Stanley Isaac Manyonyi | Twitter
Copyright © 2017. SHINYANGA CENTRAL SDA CHURCH - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger